mjuba101
Senior Member
- Oct 24, 2013
- 159
- 65
Ndugu wadau mimi binafsi pia nilikua na wazo la kuanza kusoma hiyooo inayoitwa "New Syllabus", Ila according to NBAA website kuanzia november next year exception kwa mtu aliyemaliza degree itaishia foundation level
Kwa maana utatakiwa kupiga kwanza masomo site (6) ya Intermediate Level, Baada ya hapo ndipo utajikongoja kwenye final level yenye Masomo Manne (4).
Lakini kama mfano mwezi november ukikukuta una module E mkononi basi utafanya masomo matatu ambayo ni:
1. Perfomance management (hili lipo intermediate level)
2. Corporate report (hili lipo final level) na
3. Audit and Assurance services (final level)
So ni wewe kupima masomo Kumi au Sita?
You can check on my dropbox kuna hizo two attachment from NBAA website wameainisha kila kitu, just download and take your time to read.
https://www.dropbox.com/sh/ds2h4nxqgqdnt2k/vzsVCzX78M
Ushauri: Mimi nawashauri ndugu wadau ni bora kufanya module E mwezi wa tano kisha kusubiri hayo masomo matatu kwenye hiyo new Syllabus, kuliko kusubiri new syllabus kufanya masomo kumi (10)