Nakuelewa Sana!
Wengi wetu wanamini matatizo ya binadamu kwa binadamu yanatatuliwa kwa miujiza miujiza!
La hasha... Tupo hai leo ili kutumia akili zetu kutengeneza na kutatua matatizo yanayotukabili!
Root cause ya matatizo ya Watanzania ni sisiemu... Cha ajabu wanaiogopa na kukimbilia kutatua makando kando ya tatizo lenyewe...!
Mwalimu JKN aliona mbali sana... Umaskini wa akili ni zaidi ya umaskini wowote ule!
Hapana, kuna tofauti kubwa sana kati yangu na wewe unayeendelea kutaka kuwakandamiza waTanzania kwa kutumia vitisho waogope kuchukua hatua.Sasa kama nawe unajifanya Kujiamini hivi na huogopi mbona unatumia Fake / Anonymous ID na wala siyo Verified One? Acha na acheni Unafiki wa Kujifanya Wababe huku mkiwa nyuma ya Keyboards zenu wakati hata ninyi pia ni Makunguru ( Waoga ) kama tu walivyo Watanzania wengine.
Acha uongo,matatizo ya Tanzania na Africa kwa ujumla siyo vyama tawala ni ule mkutano wa Berlin conference 1885.Unaweza niambia inchi ipi ya kiafrica inatengeneza magari harafu inaenda kuuza America au ulaya?.Nakuelewa Sana!
Wengi wetu wanamini matatizo ya binadamu kwa binadamu yanatatuliwa kwa miujiza ya Mungu!
La hasha... Tupo hai leo ili kutumia akili zetu kutengeneza na kutatua matatizo yanayotukabili!
Root cause ya matatizo ya Watanzania ni sisiemu... Cha ajabu wanaiogopa na kukimbilia kutatua makando kando ya tatizo lenyewe...!
Mwalimu JKN aliona mbali sana... Umaskini wa akili ni zaidi ya umaskini wowote ule!
Acha uongo,matatizo ya Tanzania na Africa kwa ujumla siyo vyama tawala ni ule mkutano wa Berlin conference 1885.Unaweza niambia inchi ipi ya kiafrica inatengeneza magari harafu inaenda kuuza America au ulaya?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe ni Mtanzania na mwana CCM Sidhani kama unahitaji kuuliza hili swali.Na huu unaouita 'utamaduni' ndio mnaotaka kuueneza nchi nzima, kwa maslahi ya nani!
Mimi ni mTanzania tu, hayo ya CCM na utamaduni hayanihusu.Kama wewe ni Mtanzania na mwana CCM Sidhani kama unahitaji kuuliza hili swali.
Hilo kila mtanzania mwenye akili analijua vizuri sana!kwa hiyo huyo jamaa ndo tapeli namba moja wa haki za kuishi?
Kama humwogopi wala huogopi 'wafanyakazi' wake wasiojulikana, bali jitokeze mbele ya kamera na kumkosoa hadharani uipate fresh. Uwage umeaga kabisa kwa mke/mume na watoto na ikiwezekana gawa kabisa na urithi ndipo ualike wanahabari.Acheni woga... Mbona li muvi ndo kama linaanza??
Ili nchi itoke hapa ilipo ni lazima haya ne mengine mengi tu yatokee...
Kukimbia si suluhisho!!
Halafu unaingizaje utamaduni wa CCM kwa jambo linalotuhusu watanzania wote? Hivi huo utamaduni wa CCM tuliupitisha lini kwamba utumike kuamua nani wa kuiongoza nchi?Mimi ni mTanzania tu, hayo ya CCM na utamaduni hayanihusu.
Niliyemjibu anazungumzia 'utamaduni wa CCM'.
Kama humwogopi wala huogopi 'wafanyakazi' wake wasiojulikana, bali jitokeze mbele ya kamera na kumkosoa hadharani uipate fresh. Uwage umeaga kabisa kwa mke/mume na watoto na ikiwezekana gawa kabisa na urithi ndipo ualike wanahabari.
Mimi nitamvulia kofia "atakayemweza" Jiwe.Usiamini katika kumuogopa binadamu mwenzako... Tupo kazini... Usiku na mchana tunapambana kuhakikisha madhila ya watu yanafikia ukomo... Yatachukua muda lakini ni lazima yataisha tu!!
Wewe ni mlevi au hujui kusoma na kuelewa!Halafu unaingizaje utamaduni wa CCM kwa jambo linalotuhusu watanzania wote? Hivi huo utamaduni wa CCM tuliupitisha lini kwamba utumike kuamua nani wa kuiongoza nchi?
Mbona una hasira sana! Una ugonjwa gani?Wewe ni mlevi au hujui kusoma na kuelewa!
Unakurupuka ku'quote' bila hata ya kuelewa kilichoandikwa?
Bure kabisa.
Mbona una hasira sana! Una ugonjwa gani?
Hivi ni CCM tu ndio imekutia wazimu kiasi hicho?Wewe ni mlevi au hujui kusoma na kuelewa!
Unakurupuka ku'quote' bila hata ya kuelewa kilichoandikwa?
Bure kabisa.
Kama si ulevi basi ni ukichaa unaokusumbua!Hivi ni CCM tu ndio imekutia wazimu kiasi hicho?