Ushauri wa bure : usijaribu kwenda kupima HIV/UKIMWI kama hujajipanga kiakili.

Complicator

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
2,198
Reaction score
3,580
Wazima?

mimi staki kupoteza muda kabisaaa niwape mkasa ulionikumba jana.

picha linaanza mwezi uliopita nimeenda zangu hospitali ya rufaa fulani,katika pita pita za macho bwaaaa(si unajua cc wanaume) nikakutana na binti mmoja hatari sanaaaa kabichi,kazuri,kamejazia tako,yaani karembo mno,kama kazungu siyo kazungu wala kaarabu..nikaja gundua kumbe ni wale waarabu koko wa tabora wale...

muuni nikajitosa nikaomba namba ya simu sababu tulikua tumeenda hapo kuchukua tu maiti so nilikua resi sana...kakatoa namba kiroho safi...

nikakaa kama wiki hivi sijakatafuta hadi tumalize harakati za msiba...baada ya kusettle ndio nikakapandia hewana bwana,mara chatting whattsap n.k tulazoeana fasta nikarusha voko kakajaa...mara tuma picha zako(unajua tutoto twa siku hizi)...asa mi nna picha zangu hizo za kupigishia nyaya in case,nilipigaga studio zinawaka kinyama tofauti na nilivyo...maisha ni kukimbizana ujue.

basi bwaaaanaa...papatu papatu tukapaga siku ya kulana mzigo,ila kimasikhara kakanambia lazima tupime wote ukimwi kabla ya kugegedana...aghhhhh nikasema freshi tu,hapo mi naongozwa na mihemko ya kuwakilisha taifa kwenye kupiga mashine mtoto ngozi nyeupe kama njia ya kulipa kisasi kwa dhambi ya utumwa waliyotutendea babu zao...

siku ya siku ikafika bwana...jana hiyo sasa,tumefika lodge mzee,mambo yakawa moto..jamani eehh mademu weupe wazuri,tuache utani,yaani mashine nyeupeeeeee peee ina weusi tu wa vuzi za kiarabu,mtoto msafi sana...na ukimix na uswahili wa tabora anajua sana kuchezea gia,lamba na kulamba...romance za kufa mtu.

nikasema sasa ni muda wangu wa kulipa kisasi kwa babu zake kwa kutufanya watumwa....ile naanza tu kakagutuka,kakasimama,kakaendea pochi yake...mara kanatoa tule tududu twa kupimia UKIMWI....ohhh lahaulaaa mama,yamekuwa hayo tena????

kakasema si tulikubaliana baby,hapo mimi wenge likaanza kunitoka,akili inanikaa sawa sasa...mimi issue ya kupima VVU hapana...nikasema ulikua utani tu jamani ehhh...akagoma,akasema basi tuishie hapo.

dahhh sasa kuacha hii kazi nikaona utakua uzembe...nikajikaza tu kwa hisani ya nyege ambazo zimeshatafuna sehemu kubwa ya ubongo kwa wakati huo...kama utani kakanitoa damu bwana,kakafanya manuva yake hapo tia sijui na vimaji gani kakasema tusubiri dakika kumi...mimi dakika mbili tu zilitosha kunirudisha miaka zaidi ya kumi na tano niliyoshiriki ngono....na wanawake wa kila aina,,,,nikasema naomba niende hapo nje nikanunue maji baby,sawa...nikavaa nikatoka nje,kule nje nikawaza hivi kweli mimi nitaweza kuvuilia kuambiwa nina ngoma????

nikaona isiwe taabu...nikasepa zangu,nikakimbia mbio achana na haya mambo ya kupimana kwa kushtukiza...nikazima simu,nikazima data *****...sitaki ushenzi mimi...

kumbe asubuhi bwana nawasha data nakuta kacheeeeeekkkkkaaaaa sanaa mnooo yaaniii

kanitumia picha ya vipimo kumbe bwana sina hata ngoma yenyewe....nimekosa kukala kale kademu kisa haya mambo ya kupima.

usijaribu kupima kama hujajipanga
IMG_20190511_181711_3.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora tu we umechekehsa safi sana.mala mia nikasoma ujinga kama huu
 
Hahaha[emoji23], kwahiyo mkuu ukashindwa kulipiza kisasi kwa utumwa waliotufanyia
 
Hicho kipimo feki kipo of pembe tatu. Mimi ni tabia yangu maana mzee ni mtabibu so mademu zangu kadhaa huwa nawapima.
 
Acha uongo mkuu, ufeki wake nini labda Kama mda wake wa matumiz umeisha
 
Wazima?

mimi staki kupoteza muda kabisaaa niwape mkasa ulionikumba jana.

picha linaanza mwezi uliopita nimeenda zangu hospitali ya rufaa fulani,katika pita pita za macho bwaaaa(si unajua cc wanaume) nikakutana na binti mmoja hatari sanaaaa kabichi,kazuri,kamejazia tako,yaani karembo mno,kama kazungu siyo kazungu wala kaarabu..nikaja gundua kumbe ni wale waarabu koko wa tabora wale...

muuni nikajitosa nikaomba namba ya simu sababu tulikua tumeenda hapo kuchukua tu maiti so nilikua resi sana...kakatoa namba kiroho safi...

nikakaa kama wiki hivi sijakatafuta hadi tumalize harakati za msiba...baada ya kusettle ndio nikakapandia hewana bwana,mara chatting whattsap n.k tulazoeana fasta nikarusha voko kakajaa...mara tuma picha zako(unajua tutoto twa siku hizi)...asa mi nna picha zangu hizo za kupigishia nyaya in case,nilipigaga studio zinawaka kinyama tofauti na nilivyo...maisha ni kukimbizana ujue.

basi bwaaaanaa...papatu papatu tukapaga siku ya kulana mzigo,ila kimasikhara kakanambia lazima tupime wote ukimwi kabla ya kugegedana...aghhhhh nikasema freshi tu,hapo mi naongozwa na mihemko ya kuwakilisha taifa kwenye kupiga mashine mtoto ngozi nyeupe kama njia ya kulipa kisasi kwa dhambi ya utumwa waliyotutendea babu zao...

siku ya siku ikafika bwana...jana hiyo sasa,tumefika lodge mzee,mambo yakawa moto..jamani eehh mademu weupe wazuri,tuache utani,yaani mashine nyeupeeeeee peee ina weusi tu wa vuzi za kiarabu,mtoto msafi sana...na ukimix na uswahili wa tabora anajua sana kuchezea gia,lamba na kulamba...romance za kufa mtu.

nikasema sasa ni muda wangu wa kulipa kisasi kwa babu zake kwa kutufanya watumwa....ile naanza tu kakagutuka,kakasimama,kakaendea pochi yake...mara kanatoa tule tududu twa kupimia UKIMWI....ohhh lahaulaaa mama,yamekuwa hayo tena????

kakasema si tulikubaliana baby,hapo mimi wenge likaanza kunitoka,akili inanikaa sawa sasa...mimi issue ya kupima VVU hapana...nikasema ulikua utani tu jamani ehhh...akagoma,akasema basi tuishie hapo.

dahhh sasa kuacha hii kazi nikaona utakua uzembe...nikajikaza tu kwa hisani ya nyege ambazo zimeshatafuna sehemu kubwa ya ubongo kwa wakati huo...kama utani kakanitoa damu bwana,kakafanya manuva yake hapo tia sijui na vimaji gani kakasema tusubiri dakika kumi...mimi dakika mbili tu zilitosha kunirudisha miaka zaidi ya kumi na tano niliyoshiriki ngono....na wanawake wa kila aina,,,,nikasema naomba niende hapo nje nikanunue maji baby,sawa...nikavaa nikatoka nje,kule nje nikawaza hivi kweli mimi nitaweza kuvuilia kuambiwa nina ngoma????

nikaona isiwe taabu...nikasepa zangu,nikakimbia mbio achana na haya mambo ya kupimana kwa kushtukiza...nikazima simu,nikazima data *****...sitaki ushenzi mimi...

kumbe asubuhi bwana nawasha data nakuta kacheeeeeekkkkkaaaaa sanaa mnooo yaaniii

kanitumia picha ya vipimo kumbe bwana sina hata ngoma yenyewe....nimekosa kukala kale kademu kisa haya mambo ya kupima.

usijaribu kupima kama hujajipangaView attachment 1095004

🤣🤣🤣 Dah the way umepresent tu ndio nimefurahi.....
 
Unacho kipaji cha kusimulia hadithi au mambo. Hongera!

Lakini pole pia kwa kuikosa mbuny.e ya kiarabu!
 
Acha uongo mkuu, ufeki wake nini labda Kama mda wake wa matumiz umeisha
Sometimes huwa kinadanganya kinaweza onesha positive, kumbe sio ndo wanaend ku verify kwa kile cha pembe tatu. Ngoja wengine wataongezea hapa.
 
Kama kikiwa kimeisha mda wake wa matumizi na kikatumiwa kitatoa majibu ambayo siyo
 
Back
Top Bottom