Ushauri wa bure : usijaribu kwenda kupima HIV/UKIMWI kama hujajipanga kiakili.

Kwa akili hizi ni haki wengi wenu mfe maskini wa kutupwa,chai gani hapo?Huoni kipimo cha HIV hicho? Ulitaka aandikeje ndo ujue ni uji siyo chai?
Wewe utakuwa unaumwa na mavi mkuu kwa hiyo kisa kaweka kipimo ndiio nimuamin
 
Mkuu Kama nakuona,,,ulivokua unaaga naenda dukani,,,[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi najuaga sina sabab wife wanampimaga akiwa mja mzito ananiletea majibu.... ukitaka nikuumize niambie nikapime
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Duuu kweli yako kali uoga wako ndio umaskini wako
 
Daah masikini ukajikuta umeshindwa kulipa kisasi kwa mababu zake.
 
Kumbe kamstari kakienda huko ndio unakuwa huna? Basi asante Yesu[emoji23]
 
Chai na ramazan yotee hii mkuu

Wakaonana live ana kwa ana, wakapeana namba.

Ila kabla ya kuonana tena kwa mara ya pili, demu akaomba picha kwanza.... ili amuone sura na muonekano? au ili amkumbuke?

Mkuu nakubaliana nawe, hii ni chai iliyokosa sukari.

-Kaveli-
 
mkuu acha kuumiza kichwa kwa mambo ya kawaida...wewe hujawahi kutuma picha kwa mtu mnayefahamiana??

au kwanini benki wanataka passport size pics wakati umeenda na wamekuona.
 
Wakaonana live ana kwa ana, wakapeana namba.

Ila kabla ya kuonana tena kwa mara ya pili, demu akaomba picha kwanza.... ili amuone sura na muonekano? au ili amkumbuke?

Mkuu nakubaliana nawe, hii ni chai iliyokosa sukari.

-Kaveli-
hujawahi omba demu akutumie picha japo unamfahamu?
 
Hatari sana
 
Ilini kuta miaka fulani nilimfata demu mkoa kufika kule Usiku tulipiga mechi kufika jioni ananiambia wangu hapa mechi haiendelei mpaka kupima! duh imebidi nijikakamue kuwema damu hapo kwenye kadude kwenye kusubiri dakika Sasa kukimbia nataka lkn naondokaje! badae majibu yakawa fresh Usiku ilipigwa mechi siyakitoto
 
Mkuu umenchekesha sana[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji16][emoji16][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji56][emoji56][emoji56]
 
We pima tu mbona kawaidà ila kweli ukiambiwa unao lazima ujipange hasa.ni veMa upime kama una sababu mfano ndoa au sababu mwa mda mrefu.
 
Me sipimi kizembe alafu manesi wa kike ukimtongoza lazima akupime auchomoki mzee. Me sipimi sipimi uwiiiiiiiiiiiiiiiii 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…