Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,840
- 25,367
- Thread starter
-
- #161
Mie huyu dada anaolewa soon so kwasababu nilipewa jukumu yakumlinda hadi ndoa basi nikaingilia kati usiharibu ila mie jomba nasema ukweli sinaga wivu na mtu yeyote humu, napia sitakagi kutongozwa humu sipendi kumuumiza mtu so elewa hilo, natongozwa sana humu ila siwezi kukubali nimeamua kuweka maisha yangu privateMrembo Maua mboni unakua hivyo wewe si unataka nikutongoze na wewe
Sawa Miss Maua nimekuelewaMie huyu dada anaolewa soon so kwasababu nilipewa jukumu yakumlinda hadi ndoa basi nikaingilia kati usiharibu ila mie jomba nasema ukweli sinaga wivu na mtu yeyote humu, napia sitakagi kutongozwa humu sipendi kumuumiza mtu so elewa hilo, natongozwa sana humu ila siwezi kukubali nimeamua kuweka maisha yangu private
Sawa asanteeSawa Miss Maua nimekuelewa
Karibu Miss MauaSawa asantee
acha tu😅nani huyo