kiu kweli sisi kama nchi (tz) tumekuwanyuma ktk kufanya mambo ya msingi ya kiuchumi,kijamii na kisiaasa sabubu ya kushindwa kuwekeza kweli ktk elimu basi ushari wangu basi serikali itilie mkazo mambo haya labda ndo tunaweza (a) bigbrother (b) kiduku (c)ulimbende (d) ushalobalo. na mengineyo ambayo wakubwa najua mtaweza kufanya "big result now no div ziro"