Ushauri wa dharura:Girlfriend wa rafiki yangu ananitaka..

Mkuu achana nae, kumbuka mapenzi hayana siri,
 
Mueleze gfriend wako uone hiyo kasheshe!

Tulikuwa na jirani mmoja mama mtu mzima Muheshimiwa sana, mume wake alikuwa anatembea na mke wa jirani yetu mwengine. Siku moja alimsimamisha mume wa yule mwizi na kumwambia 'mwambie mke wako asiniibie mume wangu'

You can imagine hiyo kasheshe iliyozuka hapo mtaani, palikuwa hapatoshi na hasa huyo aliyekuwa anaibiwa alikuwa ex-usalama.
 
Tatizo hajasema kwanin anamuacha mshikaj kuja kwako! Nahic sababu zilezile za kumuacha jamaa atatumia kukuacha nawewe bdae....vicheche wengi sikuhizi!
 
Mtose huyo dem kuonyesha kwamba unampenda rafiki yako.
 
sio kweli. huyo dada hawezi kusema maneno hayo na akijua fika wewe na boyfie wake ni chanda na pete? labda usema wewe ndo unamtani msichana wa rafiki yako, hapo nitakusikiliza. najua unao wivu mwenzako kamrembesha demu wake na wako umemwachilia aonekana mzee kukuliko kisha unatafuta vizingizio. kwani ni nini hicho ulicho nacho zaidi mpaka utaminike kiasi hicho? eti demu akutongoze????? mkuu nina uhakika hata demu akikutamani vipi hawezi kukutamkia maneno hayo.
 
Kifo kifo kifo hauna huruma

Kifo hakina taarifa
 
sasa kama hutaki kukosana na rafiki yako kisa huyo unaomba ushauri wa nini?au unataka kutoa tu mada na wewe uonekane upo?
 
Mkubalie alafu nawe umtambulishe kwa marafiki zako wengine kama girlfriend wako,utaona muziki wake.
 
dogooo...usipate tabu kisha ukavunja "undugu" na mshkaji wako...nipe namba yake nigonge kisha mwambie mshkaji muje mutufumanie then apate sababu ya sekondari ya kumwaga demu kicheche anayetaka hata shemeji zake..

Huyo ukimchapa keshokutwa atamtaka babako mzazi then unaanza kumwita mama ...ndioo...mpenzi wa babako ni mama n vice versa

ni pm namba ya huyo kicheche niwasaidie kuwaondolea mkosi kunako "ukoo wenu" asije-jipenyeza mara nduguyo kaoa inakuwa tabu tena kumwambie amwage mkewe...niuzie kesi hiyo pleaseeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…