hii ni classic case ya " if u want to short circuit ur relationship live in different cities"
sasa kaka vizuri kuwa umeona kuwa hapa hamna uhusiano tena na ni vyema kujiachia zako
mwambie tuu kuwa wewe unashindwa kuvumilia hayo anayokutendea hivyo ni bora kila mtu achukuwe hamsini zake.
Sasa na wewe unaondoka bila kumuaga mpenzi wako inakuwaje? kama umechoka na tabia zake mueleze wazi ajue kama kuna uwezo wakijirekebisha au bado ipo nafasi ndani ya moyo wako japo kidogo basi muite muonge yaishe,la umeshatosheka na yeye muite vile vile au mpigie umueleze kua hutoweza kuendelea na yeye sababu 12345 kwahiyo ajipange.......
hii kali.tena ya mwakamwambie kuwa wewe ni shoga na kesho unatolewa kwny front page ya gazeti la udaku
Anaweza pia akamwambia kwamba kanasa kale kaugonjwa ketu.mwambie kuwa wewe ni shoga na kesho unatolewa kwny front page ya gazeti la udaku
mwambie kuwa wewe ni shoga na kesho unatolewa kwny front page ya gazeti la udaku
Anaweza pia akamwambia kwamba kanasa kale kaugonjwa ketu.
Kasema anataka njia ya kuachana kwa amani, sasa nadhani kwa njia hizi mdada wa watu atamshukuru jamaa sana na amani itapatikana.Nyie watu nyie....
Njia nzuri lakini maana haina cha niambie kosa langu wala sikubali uniache mi nakupenda.
mwambie kuwa wewe ni shoga na kesho unatolewa kwny front page ya gazeti la udaku
Nimechoka na vituko vyake,ananijbu dharau,anapokea simu akijsikia,txts hazijibiwi kwa wakati na mambo mengne mengi ya mauzi ambayo nikiyaandka hapa mnaweza kunihurumia,eti sababu ya yote haya ni kwamba nliondoka ghafla bila kumuaga,sa hzi tuko mikoa tofaut na ninahis ana kidume kingne tayar knamzuzua.naomben mnipe maneno yenye busara yatakayo tufanya wote tuachane kwa aman...natanguliza shukrani.
mwambie kuwa wewe ni shoga na kesho unatolewa kwny front page ya gazeti la udaku