Wadau kutokana matatizo ya ajira hapa Tz nimeona nijiajiri mwenyewe,baada uchunguzi wa soko la biashar adar kuona lina ushindani mkubwa nimeona ni bora niangalie upande wa mikoani km dodoma mjii ambao unakuaa kwa kasi sana nimeona nami nikuwe nao ila sina uzoezi mkubwa sana wadau wanao juu kiundai mjiii na biashara hii naomba sana mnifahamishe na mnishauri.kabla sijaingia kwenye hii biashara​