Ushauri wa duka la spare za magri dodoma

wanan

Senior Member
Joined
May 11, 2011
Posts
141
Reaction score
42
Wadau kutokana matatizo ya ajira hapa Tz nimeona nijiajiri mwenyewe,baada uchunguzi wa soko la biashar adar kuona lina ushindani mkubwa nimeona ni bora niangalie upande wa mikoani km dodoma mjii ambao unakuaa kwa kasi sana nimeona nami nikuwe nao ila sina uzoezi mkubwa sana wadau wanao juu kiundai mjiii na biashara hii naomba sana mnifahamishe na mnishauri.kabla sijaingia kwenye hii biashara​
 
fika pale mtafute m2 anaitwa kidia au temu watakusaidia sana ni 3wafanya biashara za spare za magari wa muda mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…