Imekuwa ni utamaduni dunia nzima kuazimisha maapisho ya maraisi yakitumia mamilion ya pesa za wenye nchi. Hili ni pendekezo langu iwapo raisi wa tanzania atachaguliwa kwa kipindi cha pili ataapisha chap chap aanze kazi zisitumike gharama zozote za kumualika mtu yeyote. Matatizo ya wenye nchi yanatualika kila kona tunabaki kuyakimbia .