Ushauri wa haraka Jaman

momara

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2019
Posts
463
Reaction score
491
Mke wangu anajisikia maumivu sehemu ya juu ya papuchi. Maumivu yanaanzia sehemu ya juu ya K Kupanda juu na sehemu ya Kati ya matiti Kwa chini kidogo. Maumivu husambaa mpaka na maeneo Mengine ya mwili mpaka kunyanyua mguu anashindwa na hujihisi uchovu mpaka mikononi.

Yote haya yametokea leo wakati nachakata papuchi. Nimeishia njian na nahofia kuendelea hata Kwa badae mana aliniogopesha Japo namuona hapa anajinyanyua polepole.

Jaman shida hii nini Tatizo? Mana nlikaa kimya nsijue nini cha kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapo muone Messi au Ronaldo ukishindwa peleka uzi kwenye jukwaa la afya
 
Hii habari inaweza kua ya ki sport kweli. Kama mchezaji hawezi kuendelea na mechi, fanya sub mkuu. Hapo atapata muda wa kutibiwa huku mwengine akichukua nafasi. Unaona Deo Kanda alivyorudi now?
 
Watu huwa mnawataka watu maneno, sasa mambo ya mke wako yanahusianaje na michezo, aargh 😡😡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…