Umesoma sana Tanzia hapa JF kwahiyo ukalala na mawazo hayo.Nina wasalimu kwa upendo wa Mungu baba ndugu zangu juzi mke wangu aliota ndoto yupo msibani analia sana ila ni msiba wa mtu ambae amefariki zamani sanaa leo mimi nimeota npo sehemu kama hospital au kituo kina cha kulea watu kuna maiti nyingi sana zina bebwa kwenye machela kwenye machela moyo wangu umefadhaika sana ushauri please