Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Funga kula siku saba, ukiombea biashara yako kwa maombi ya nguvu wakati huo usiache kufungua.... Itakuwa vzr like never before. Mrejesho muhimu.....Habari wana jamvi, matumain yangu hamjambo.
Ngoja niende moja kwa moja, n hv nlijichanga nkapata mtaji nkafungua duka la bidhaa mchanganyiko mkoa wa Pwani sasa mwanzon wiki ya kwanza biashara haikua nzuri ila cku zlvyozd kwenda ikachangamka mauzo yakawa yanapanda mpk laki,
sasa kuna cku wakat nataka kufunga ilkua cku ya j3 nkaona juu kabsa ya geti ambapo n parefu kwelii kufkia mpk uweke kiti kirefu sn nkaona pana soks pair moja za mtoto zmebanwa na kibanio nkashangaa sn zmefkaje kule ikabd nmuite mume wng akasema n watoto watakua wameweka mmh nkamwambia poa,
sasa bwana toka siku ile mauzo yamepungua sn naweza fungua asbh mteja wa kwanza akaja sa nane nalala naamka nalala naamka hakuna mteja, najitahid sn kukemea hii ila cjajua iman yng n haba au vp.
Kwan naweza kuuza ht elfu moja tu kwa cku, inaniuma sn.
Nikiuza sn elfu 10 navunjika moyo, naomben ushauri na mm iman za waganga siziamn kweli.
Nafanya maombi lkn wap mara tu nnavyofungua.
Naomben ushauri ila kwenye huu mtaa yapo maduka km 6 hv km langu.
Nawaza nfunge tu kwan kod yng haijaisha na kwenye hii biashara nna miez mi5 tu.
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Baada ya hapo nini kiliendelea.? Kulikuwa na madhara kama ya mleta uzi? Au hapana?Kuna siku tulifungua ofisi asubuhi tukakuta paka ndani amekufa.
Geti letu ni yale yanayoshushwa kufunga na kupandishwa kufungua, ni kama coil yaani.
Mimi na mwenzangu tukaambiana hivi "Ujue hili geti tunalivuta vibaya hadi hapa mbele pameinuka ndiyo maana paka kaweza kuingia"
Siku nyingine tumefunga ofisi mwenzangu kuna kitu akawa amesahau tukarudi kukichukua.
Tumefungua geti tu akatoka paka mule ndani mbio.
Na bado tukang'ang'ana na nadharia yetu ile ile.
Kilikua kinapatikana cha kutosha kusurviveBaada ya hapo nini kiliendelea.? Kulikuwa na madhara kama ya mleta uzi? Au hapana?
Sent using Jamii Forums mobile app
The same to me!! What a Coincidence!!! Mimi nami biashara imepiga u turn mpaka nachanganyikiwa. Hapa Dar kufanya biashara ya duka bila Akili mbili huifanyi nimegundua. Wataalamu ni wengi. Unasubiri mteje mpaka UnachanganyikiwaHabari wana jamvi, matumain yangu hamjambo.
Ngoja niende moja kwa moja, n hv nlijichanga nkapata mtaji nkafungua duka la bidhaa mchanganyiko mkoa wa Pwani sasa mwanzon wiki ya kwanza biashara haikua nzuri ila cku zlvyozd kwenda ikachangamka mauzo yakawa yanapanda mpk laki,
sasa kuna cku wakat nataka kufunga ilkua cku ya j3 nkaona juu kabsa ya geti ambapo n parefu kwelii kufkia mpk uweke kiti kirefu sn nkaona pana soks pair moja za mtoto zmebanwa na kibanio nkashangaa sn zmefkaje kule ikabd nmuite mume wng akasema n watoto watakua wameweka mmh nkamwambia poa,
sasa bwana toka siku ile mauzo yamepungua sn naweza fungua asbh mteja wa kwanza akaja sa nane nalala naamka nalala naamka hakuna mteja, najitahid sn kukemea hii ila cjajua iman yng n haba au vp.
Kwan naweza kuuza ht elfu moja tu kwa cku, inaniuma sn.
Nikiuza sn elfu 10 navunjika moyo, naomben ushauri na mm iman za waganga siziamn kweli.
Nafanya maombi lkn wap mara tu nnavyofungua.
Naomben ushauri ila kwenye huu mtaa yapo maduka km 6 hv km langu.
Nawaza nfunge tu kwan kod yng haijaisha na kwenye hii biashara nna miez mi5 tu.
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
bahati mbaya ni kwamba wafanyabiashara wa kitanzania kwa 99% hawapendi kushare na wengine kuhusu biashara zao hasa kama atagundua anaetaka ushauri kwake ni mtu anayefanya au anayetaka kufanya biashara kama yake.Usikate tamaa anza urafika na wenye maduka kama lako watakupa maarifa. Najua wivu upo lakini zungmza nao taratiiibu (life is a game play it)
Sent using Jamii Forums mobile app