Ushauri wa haraka please

ufumawicha

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
504
Reaction score
209
Wanajf,

Naombeni ushauri wa kipi ni bora kuweka pesa benki au kwenye Saccos.

Kumbukeni mimi ninachohitahiji ni faida!
 
unaweza pata wazo mbadala pia zaidi ya saccos na benki, mfano deci una-reap fast unasepa zako lakini kuna betting nayo ina faida sana you just use 500/= ukapata hata 10mil.
 
unaweza pata wazo mbadala pia zaidi ya saccos na benki, mfano deci una-reap fast unasepa zako lakini kuna betting nayo ina faida sana you just use 500/= ukapata hata 10mil.
we unataka mwenzio achizi..hivi deci bado ipo?
 
Stored money Ni hasara kwa tuliosoma uchumi, kama unataka faida izungushe pesa hata kwa kukopesha kwa ribs sio saccos Wala bank
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…