ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,326
- 8,505
Ni wapenzi kwa muda wa mwaka mmoja sasa na wanapenda kweli, na hata sisi tulio karibu nao tunaona jinsi wanavyopendana, kijana anataka kutangaza ndoa, ila sasa mdada anamzidi mkaka miaka sita (6) lakini ukiwaona huwezi kujua hiyo tofauti ya miaka yao.
Mkaka anampenda sana mdada japo ana mzidi umri na japo mdada ana mtoto lakini kwake si kitu, Hofu kwa mdada je wazazi wa mkaka watakubali amuoe mdada anaemzidi miaka sita na hapo hapo mdada tayari ana mtoto mmoja, japo yeye mdada yupo willing kuolewa na mkaka
Ushauri tafadhari, issue ikienda kwa wazazi wa mkaka, wakigomea ndoa wenyewe wahusika wafanyeje? (mkaka na mdada)
Nwasilisha