Ushauri wa haraka Plz......!

ram

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
9,326
Reaction score
8,505
Ni wapenzi kwa muda wa mwaka mmoja sasa na wanapenda kweli, na hata sisi tulio karibu nao tunaona jinsi wanavyopendana, kijana anataka kutangaza ndoa, ila sasa mdada anamzidi mkaka miaka sita (6) lakini ukiwaona huwezi kujua hiyo tofauti ya miaka yao.

Mkaka anampenda sana mdada japo ana mzidi umri na japo mdada ana mtoto lakini kwake si kitu, Hofu kwa mdada je wazazi wa mkaka watakubali amuoe mdada anaemzidi miaka sita na hapo hapo mdada tayari ana mtoto mmoja, japo yeye mdada yupo willing kuolewa na mkaka

Ushauri tafadhari, issue ikienda kwa wazazi wa mkaka, wakigomea ndoa wenyewe wahusika wafanyeje? (mkaka na mdada)

Nwasilisha
 
Issue hapa ni msimamo wa huyo mkaka ushuri wetu una mchango mdogo kuliko maamuzi yao binafsi maana mambo ya mapenzi ni magumu wakati mwingine niliwahi kutoa ushauri kwa rafiki yangu kutatua matatizo yake kumbe naye ana maamuzi yake. So wao waamue kama wanamsimamo gani kulingana na situation watakayokabiliana nayo.
 
Reactions: ram
6years???????? with a kid????
Huyo mdada kampa nn huyo mkaka?
Anyway ya ngoswe mwachie ngoswe...Mimi nadhani ukishaamua kufunga ndoa watu wengine wanakuwa na influence ila unatakiwa kui-suppress iwe ndogo ili maamuzi yako provided ni ya busara yafanikiwe.
That is my opinion.
 
Ni kweli ya ngoswe mwachie ngoswe, wanasema mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo

 
Hii ndoa ngumu sana unless wahusika wawe ni watu wanaojitambua sana vinginevyo haiotafika popote.

Kwanza kijana ukimzidi miaka 6, kiakili unamzidi miala 12 sasa sijui nani atakuwa mume na nani atakuwa mke.
 
Kwa watu waliodate mwaka mmoja nisawa kutoona kitu sasa hivi, sasa ngoja 'Diminishing Marginal Utility' i-apply, they will come to their senses kwamba hakuna mahusiano hapo.

Ni kweli ya ngoswe mwachie ngoswe, wanasema mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo
 
age aint nothing but a number! (rip Aaaliyah). jamani hizi ni hulka za waafrica kwamba mwanaume lazma akupite, au uolewe huna mtoto! hivi kungekuwa hakuna abortions kabisaaaaaaaa, wala no contraceptives kabisaaaaaa! hivi hali ingekuaje, coz am sure 95% wangekuwa na watoto kabla ya ndoa, so ndio u dont have another chance ya kupenda au kupendwa just because unamzidi mtu umri au una mtoto?! to me luv between them is ol matters here!
 
Wasiwasingizie wazazi! Ukienda kusema unaoa ama kuolewa hivi wanaulizaga umri wa mchumba? Unless useme anasoma form 4 na Husninyo wa jf, hapo utaulizwa na QT? Ana umri gani?
 
Reactions: ram
Mmmh, wajaribu
Na hawa wanamme wa kiafrika wanavyochit hivi?!!!!

Ukute kaibua kitbinti cha miaka 21 kijana wa miaka 38, wewe mke una miaka 44?
Si utaenda kunywa sumu?

Haya kazaneni, mie katoto nakokazidi umri 'Marfuku'
Bora nikahangaika na wazee wenzangu akina Bishanga nyama zishalala, wrinkles usoni unaficha noti wakati wa mvua na hazilowi

 
Last edited by a moderator:

Nao wanajistukia tu,kwa nini wahisi wazazi watapinga? Wawaeleze kwanza wakipingwa ndio waombe ushauri,sio wanakunja suruali kumbe mto wanaojiandaa kuuvuka umekauka maji! Waufikie kwanza,wakikuta maji ndio wakunje suruali
 
Reactions: ram
sijaona tatizo kama wote wamekubalina ,Alwwys Mzazi ni Watu wa kupewa taarifa kuhusu Msimamo wa Mtoto
Lakini siku zote Umri ni Namba.
 
Mmnh...Hapo pagumu..Hata ningekuwa mimi mzazi wa huyo kijana kwa kweli nisingefurahia mwanangu aoe binti mkubwa kwake kwa miaka 6.. Love is blind lakini sio ki hivyo.. Miaka sita ni mingi sana ki ukweli..
 
Reactions: ram
wazazi wagome kwani ndo watafunga ndo?
Umri si kitu cha msingi, ndoa inabebwa na upendo na kuheshimiana, uaminifu, kujaliana nk.....ndoa haibebu na umri...
 
Reactions: ram
aisee wazazi wakibongo wanatia presha kweli wakati Maria Carey ameolewa na youngman na bado penzi linasonga mbele lakini kwa huku kwetu huyo kaka aandae maelezo na convincing power yake iwe juu ka helkopita ndo atafanikisha zoezi zima lasivyo ajiandae tu.:sad::sad:
 
Reactions: ram
MSIMAMO,ndo kitu cha msingi,either waingie na miguu yote miwili au wasiingie kabisa,mambo ya mguu mmoja ndani mwingine nje,watakuja kujuta,
wafanye kitu wanachopenda wenyewe because at the end what is at stake is your happiness
 
Reactions: ram

Nimeipenda hiyo! Kuna jamaa aliwahi kusema, ku-abort mtoto hakukufanyi usiwe na ujauzito, bali mama wa mtoto aliyekufa! Ukifikiria vizuri...it makes a lot of sense!
 
Kongosho, hapa mwanadada ndo anaemzidi mwanaume umri
 
Last edited by a moderator:
Hapa umenena kweli mkuu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…