ram JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 9,326 Reaction score 8,505 Jun 27, 2012 Thread starter #21 Yah ni kweli! Tumemshauri mkaka apeleke kwanza issue kwa wazazi wake, baada ya hapo sasa ndo watajua kama kuna kizingiti au la! Ennie said: Nao wanajistukia tu,kwa nini wahisi wazazi watapinga? Wawaeleze kwanza wakipingwa ndio waombe ushauri,sio wanakunja suruali kumbe mto wanaojiandaa kuuvuka umekauka maji! Waufikie kwanza,wakikuta maji ndio wakunje suruali Click to expand...
Yah ni kweli! Tumemshauri mkaka apeleke kwanza issue kwa wazazi wake, baada ya hapo sasa ndo watajua kama kuna kizingiti au la! Ennie said: Nao wanajistukia tu,kwa nini wahisi wazazi watapinga? Wawaeleze kwanza wakipingwa ndio waombe ushauri,sio wanakunja suruali kumbe mto wanaojiandaa kuuvuka umekauka maji! Waufikie kwanza,wakikuta maji ndio wakunje suruali Click to expand...