Ushauri wa haraka sana unahitajika,nawategemea sana kwa hili

Ushauri wa haraka sana unahitajika,nawategemea sana kwa hili

Joined
Aug 10, 2011
Posts
72
Reaction score
14
Nina mdogo wangu o'level alipata passes 2 tu na miswaki ya kutosha,nikaamua kumpeleka certificate pale magogoni kisha nikamuunganishia dilpoma kafaulu vizuri ana upper second.Sasa nataka asome degree lakini kuna fununu nazipata kwamba ili asome degree ni lazima awe na passes 4 za o'level.Inakatisha tamaa kama kweli ndio hivyo.
Tafadhari naomba kujuzwa na wenye uelewa zaidi wa mambo haya ili kama hakuna namna nyingine basi mwakani aanze kureseat form 4.
 
Back
Top Bottom