Peasant educator
JF-Expert Member
- Mar 13, 2020
- 209
- 187
Habari wadau.
Katika sera za Hayati Magufuli kuelekea uchaguzi wa oct2020 alitoa ushauri kwa NSSF kutowekeza tena kwenye makongo na kuwekeza kwenye ujenzi wa viwanda.
Tathmini ndogo tu iliyofanyika ila sijachapa hii report, jengo la mlimani la blue (PPF tower km sijakosea) liligharimu about 250btsh na so far lina mpangaji mmoja km data hazijabadilika, fedha zile tunaweza jenga viwanda walau vitano (5 medium scale factories), inclusive of jengo machineries na capital ya kutosha kurun for more than a year na kuwekeza kutoa ajira za moja kwa moja takriban 200 kwa kila kiwanda. Ajira zisizo za moja kwa moja ni zaid ya 1000 kwa kila kiwanda.
Wanufaika wangekuwa wazalishaji wa nyanya kwa bidhaa za sause na ketchup, pamba kwa kutengeneza nguo, viazi na mazao na nafaka nyenginezo. Tungeweza tengeneza Ajira nyingi sana kila mwaka.
NSSF wamefikia wapi kwenye hili au zilikw siasa tu zile agizo lilipuuzwa?
Mchango bila mihemko na matusi yanakaribishwa!
NB: alipopatia JPM apongezwe kuna mda alikosa wasaidizi alikuwa na wasaka tonge wengi wamemzunguka. Ndo mana alikosa sehem nyengine ila alisema bora ujaribu na kusali kuliko kutojaribu kabisa.