Tojobizy
Member
- Mar 6, 2018
- 23
- 19
Habari ndugu zangu,
Naombeni ushauri kwa wenye uzoefu na haya magari (Hino,Isuzu na Mitsubishi Fuso) nahitaji kufanya biashara ya bus la abiria kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine i.e Iringa to Dodoma au Iringa to Morogoro. Je basi lenye CC 6000-8000 linaweza kufaa na kudumu kwa muda mrefu? na je basi lenye engine nyuma litafaa?
Natanguliza shukrani, Ahsante.