MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Injinia aliulizwa kuna tofauti gani ya kiufundi kati ya welding (kuchomelea) na wedding (harusi)??
Akajibu.
sio kubwa zote ni viungo(joint) ila katika welding kuna cheche kwanza halafu ndo inaungana milele wakati katika wedding inaungana kwanza halafu cheche milele.