Ushauri wa kanuni bora za kilimo cha Migomba na Soko lake

Wakuu maeneo ya pwani kama Mkuranga naweza kulima ndizi mshale zikakubali vzr..?
Naona huku wengi wanalima ndizi sukari tu, sijajua tatizo ni nn?
 
Eti wadau wa kilimo cha ndizi huo ni ugonjwa gani wa ndizi?

Dawa yake ni nini?
 
Mku hbr huzi najua ni was Sikh nyingi lakini naomba kujua kama bado mashamba yanapatikana.
Asante Mku
Mimi Nina shamba Turiani ( siyo milimani Ni ukanda wa chini)kule vipi itaweza kukubali?
 
Imesheheni elimu ya kutosha
 
Ahsante sana kwa elimu hii sikujua kumbe mgomba unazalishwa pia kwa chupa.
Sasa niwaambie leo nimeona kali ya mwaka nimekwenda kununua kitu duka la mifugo kaja mmama mmoja kauliza dawa ya sindano ya mgomba nimeshangaa sana weledi tujuzeni.
 
Boaster ya migomba inachomwa sindano za ng'ombe zile choma shina mgomba ukipate kiini cha mgomba ( gamba jeupe LA katikati mgomba) ndizi zitatoka kubwa sana..........
 
Wakuu maeneo ya pwani kama Mkuranga naweza kulima ndizi mshale zikakubali vzr..?
Naona huku wengi wanalima ndizi sukari tu, sijajua tatizo ni nn?
Lima aina yeyote pigana na soko lako .....kisukari kinauzika zaidi ....ndizi za kuiva !! Lima ndizi soko liko wazi
 
Tujifunze banana tissue culture ...ndio mpango mzima nawashauri sana tutafute miche hiyo kwa nguvu zote! Hapa dar nenda IITA uliza next door kwao ndio walipo hao wanauza mbegu 2500/ this badilishe ndizi asili twende kibiashara zaidi......faida kubwa ni kuzaa kwa wakati mmoja mikungu mikubwa sana......wewe uwe maji na mbolea ! Kila LA heri
 
Samahani IITA iko maeneo gani Dar es Salaam?
 
Kilosa na Maeneo mengi ya Morogoro, tunaita - MTWIKE (Mzigo Mzito)
 
Mkuu me Nina heka moja ya ndizi sukari lakini wateja ndo wanazingua Bei zao ujinga mtupu.Naziacha wale ndege natoa sadaka.
Mkuu inawezekana walaji wana Ndizi zao wanazohitaji.... chunguza hilo
 
Daaah... hatimaye nimemaliza kuusoma uzi wote... classic class... ahsanteni sana wadau... nilikuwa nacopy baadhi ya nondo na Kupaste ktk Notepad, nitaziprint hz notice kwa rejea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…