Ushauri wa kanuni bora za kilimo cha Migomba na Soko lake

Uzi mzuri sana. Naomba kuuliza maeneo ya Bungu karibu na Kibiti ndizi aina gani zinakubali?
 
Poleni
 
Ndizi mzuzu kwa kingereza zinaitwaje au zipo kwetu ?Kuna aina nyingne ya ndziz za kutumia kwenye chips na kitimoto tofaut na mzuzu?
 
Tajiri vp mrejesho japo tumelewa na mm nataka nijitose pande za mabonde ya kilosa nipande migomba
 
πŸ™πŸ™πŸ™
 
..unayo miche ya ndizi williams na french plantain?

..unaweza kutuwekea picha za mikungu ya ndizi hizo tuione?

..unazo ndizi zilizoboresha na kituo cha utafiti cha Tari?
 
..unayo miche ya ndizi williams na french plantain?

..unaweza kutuwekea picha za mikungu ya ndizi hizo tuione?

..unazo ndizo zilizoboresha na kituo cha utafiti cha Tari?
Mkuu nimeona hili swali ukiuliza semu nyingi ni Bora ukaenda sehemu husika TARI ukaulize huku unaweza pewa majibu sio sahivi sana
 
Dodoma ndizi zote zinakubali,shida maji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…