Ushauri wa kiafya: Kupoteza hamu ya kula ya aina yoyote

Ushauri wa kiafya: Kupoteza hamu ya kula ya aina yoyote

lusevya

Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
30
Reaction score
12
Naomba kujua kutoka kwa madaktari
1.nini sababu inayopelekea kupoteza hamu ya kula ya aina yoyote ya chakula ili hali unajihisi kuwa na afya tele (yaan haugui hata kidogo)

2.nini sababu inayopelekea mtu kukosa haja (choo kubwa) ili hali mtu anakula chakula Mfano siku kama 3-5 bila kwenda haja ili hali mtu anakula
Naomba kuwasilisha na karibun kwa msaada wenu
 
Back
Top Bottom