freeboy
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 242
- 191
Habari wana jukwaa
Wana jukwaa naombeni ushauri wa KISHERIA nawasilisha swali langu kwa mfumo wa mifano zaidi ili nieleweke.
Kwa MFANOmimi ni mjasiliamali mdogo nataka kuanzisha biashara fulan (mfano kuuza UNGA WA MAHINDI ) lakini sina MTAJI wa kuniwezesha kufanikisha hili kuanzia kununua malighafi hadi vitendea kazi km vile mashine za kusagia mahindi.
SWALI
Nikiamua kununua bidhaa ambazo zinazalishwa na makampun mengine(mfano wa UNGA WA MAHINDI) na kuufanyia upakiaji upya katika ujazo tofauti(mfano kwa unga ktk vipimo vya 1/2Kg au 1kg n.k).
JE hapo nitakua nimevunja sheria yoyote ya ushindani wa kibiashara kwa kununua bidhaa ya mtu na kuifanya km bidhaa yako lakini ktk muonekano tofauti na ulivyonunua.?
N.B
Ushauri ninaouhitaji ni wa kisheria za biashara sio ule wa kusema inawezekana ama haiwezekani maana najua wapo wajasiliamali wanaonunua bidhaa na kuziua kwa muonekano wao ila inaruhusiwa kisheria hiyo bidhaa uiuze tena kwa jina miliki lako na sio la Yule uliyenunua.