Ushauri wa kibiashara,mtaji wa tsh. Million 30

Katika karne hii kuna biashara mtu waweza fanya na ukatengeneza faida kubwa kuliko matarajio ila tu hii biashara wengi hatuifahamu jinsi ya kuifanya na wala haiitaji kupata eneo mahali ili uifanye,ua kulipa koi kwa wingi bila hata ya kuona faida kwanza na mtaji wa biashara hii ni mdogo kiasi kwamba hizo milioni 30 zaweza kaa tu benki kiasi kama cha milioni 29 hivi na zikazaa hela nyingi huku millioni moja tu ikifanya kazi tena bila hata ya kutoa makodi mengi na hongo kweye leseni ya biashara.karibu kwenye workshop ya ufahamu juu ya biashara hii na jinsi gani ya kuifanya.kama uko hapa Dar ni vizuri zaidi na ni rahisi kukupata au hata mkoani sawa tu cha msingi mawasiliano.jumamosi hii tupo HOLIDAY INN POSTA kuanzia saa 5 asubuhi hadi saa 8 mchana,contribution ni tshs 10000/=au wasiliana nasi kwa namba 0657117377/0762395110
 

unthinkables ..... wewe umefanikiwaje ... una ushahidi?
 
Huyo kaka yako ana matatizo, anawezaje kukupa au kukukopesha hela ya mtaji wa biashara isiyojulika. Labda hizo hela ni chafu.

we endelea kuamini kuwa kila hela ni chafu. kaa hivyo hivyo!!!!!!
 
Fungua internet cafe na pemben yake stationary,unaeza ukaanza na comp 10 desk top,printer scanner,photocopy machine,n.k
cafe goes together with stationary kwa mjin inalipa
you can take this or leave it

Internet cafe haiwezi kukulipa siku hizi watu wanatumia simu zao ku browse wewe, na wenye uwezo wana laptop zao ma modem hivyo biashara hiyo unaweza kupata kasara tu.
 

Kuna mama ntilie na baba ntilie lundo hapo mjini mbona hamuwachukui huko Holiday Out kwenu? kama kweli ndani ya milioni moja unaweza kutoka basi wasaidieni hawa mama ntilie na wanaofanana na hao.

Naamini kwa level ya huyu jamaa, ni vizuri kumshauri biashara endelevu ili pamoja na kupata faida achangie kupunguza tatizo la ajira kwa wenzetu.
 
Unatakiwa kwanza uweke wazi una interest ktk biashara gani halafu watu waje kukupa changamoto ya hizo biashara, kwa mtindo huu ni kuwafanya watu wapige ramli. Hapo chini hizo ni idea ambazo nilizisave kutoka kwa JF member jina nimesahau

 

Mkuu Hamkati Tamaa? KABLA HUJAKARIBISHA WATU HUKO TUMEISHA JUA UNAZUNGUMZIA, GNLD, FOREVER LIVING NA KAZALIKA

Mkuu, China si dhani kama ipo hapo ilipo kwa Biashara kama hizi mnazo taka kuwaaminisha watu hapa, Huu ndo ukoloni mbaya kabisa kulikohata wa zamani, kwani wewe ukija na wazo lako la Kufuga kuku hutafanikiwa? hata kama ni baada ya miaka kadhaa?

ACHENI MAMBO YA AJABU NA BIASHARA ZENU ZISIZO KUWA NA TIJA KWA TAIFA, PENDA PRODUCT ZA NCHI YENU HATA KAMA NI MBAYA NA SI KUKOMAA NA PYRAMID ZA MADAWA YA WAZUNGU
 
Naweza kukushauri ufanye biashara kama tatu hivi zitakazoweza kukutoa haraka
1. Tafuta mashine za kchapisha zilizotumika used offset machine zinapatikana saana Germany,Belgium na kwingineko euro kisha agiza aina tatu moja ya kuchapa ya pili kisu cha kukata makaratasi na mwisho finisher ukifanikiwa kuzileta hapa nchini hazina ushuru isipokuwa 5%ya VAT tu hakika utapata tenda nyingii hasa katika halmasauri na makampni kama Tigo voda nk.
2.Unaweza kuanzisha kiwada kidogocha kutengeneza sabui za miche na liquid mtaji wake si mkubwa nadhani 15 Mil inatosha nenda Kigma uogea na wakulima wa mawese upate japo tani 20 za mafuta ya mise kwa wiki tengeneza brand yako isajili TBS Muda si mrefu utaweza kuwanza production ukipata costic soda na material kama box na mifuko kwa ajili ya parking unaweza kuuza sabuni zako kila mwezi ukafanya production mara 5 faida ni kubwa nitakupa michanganuo ukiwa upo intrested ni PM
3.Sasa hivi kuna machnjio ya kisasa huko Dodoma unakwenda shinyanga na tabora kuna minada mingi ya mifugo
 

...Iweke hadharani ili JF waichambue hiyo biashara yako. Namna hiyo utakuwa umemsaidia zaidi member anayetaka ushauri na wengineo wengi! Unaogopa nini?? Yale mambo yetu yaleee???
:eyebrows: :eyebrows:
 

Muone Nathan Mpangala wa ITV atakusaidia maana kuna kibonzo cha jana na juzi kitakuelimisha nikiwa kwenye pc nitakuattachia.
 
...Huyu member na kaka yake wote wameishashindwa hata kabla ya kuanza! Kaka mtu anaweza kutoa Milioni 30 kwa mdogo mtu ambaye hajajua hata azifanyie nini mpaka aje kuuliza JF??

Hivi ni Kipi Kinachotangulia? Wazo la Biashara ndipo Utafute Mtaji ama Mtaji Kwanza Ndipo Utafute Ufanye nini Nao ????
 
ni pm kaka nikupe mchakato wa 10mill only
 
Hi

As you start the new thinking, you might as well be opening your mind for new ideas.



One of the fastest growing new idea in the world of business today in the NETWORK MARKETING BUSINESS.



This might be an alternative business for you or for your friends and relatives.



Because it is a new concept I will need to meet them for more explanation so that they can understand how network marketing business works.



In brief network marketing is a result of a new revolution in the distribution of goods and services. So it is ideally a new distribution concept.



The traditional distributional model has a lot of inefficiencies that has led to the birth of this new concept.




Networking is a fabulous way to make a wonderful income, help the people you care about and build residual income, also known as passive income.

But the thing that most people don't realize is that, there are a lot of other non-monetary benefits that are available in the network marketing industry which you can not find them anywhere else.

The attached document by Robert Kiyosaki provides a summary of 8 hidden values of the NETWORK MARKETING BUSINESS, values other the potential to make lots of money.

Hope you will enjoy reading the attached document and you will be generous enough to share it with friends and relatives who you believe are open minded to new ideas and they dream of a better future.

For those who may wish to explore the concept in more detail I will be happy to meet them, guide them through so that they can gather the neccessary facts for them to make the right decision.

As I write to you now, there is quite a good number of Tanzanians who are earning very good money from their network marketing businesses. But what sets network marketing apart from all the other businesses you know is the LIFESTYLE it provides.

What we do in this business is to grow people to the extent that your earning of income is not dependent on your presence. Your success depends on helping other people reach success. And this makes it the wonderfull business in the world.

I'll be happy to receive your comments. If you are happy to meet we can schedule an appointment and meet to discuss the idea in more details. For more information please contact us through email:21century.bussiness@gmail.com


Thanks
 

mkuu,najua kinachotangulia ni wazo la biashara,hapa nataka nieleweke kuwa kuwashirikisha watu kunaweza kuleta mabadiliko. Naamini kabisa mawazo mbalimbali kutoka kwa watu tofauti inaweza ikawa ni mwanzo wa wazo bora zaidi na lenye tija.
 
Internet cafe haiwezi kukulipa siku hizi watu wanatumia simu zao ku browse wewe, na wenye uwezo wana laptop zao ma modem hivyo biashara hiyo unaweza kupata kasara tu.

...Mkuu, bado Internet cafe ni biashara nzuri tu na ndio maana hata huko zinakotengenezwa Lsptop na Simu zenye Internet bado Huduma ya Internet Cafe inaendelea. Suala ni huduma ya Nyongeza kama ambavyo mkuu amesema kuwa unaweka Printer, PhotoCopy Scanner na Kadhalika,ukijumlisha na eneo zuri la Biashara...
 
Nashukuru sana wana JF kwa mawazo yenu mlionipatia kipindi cha miezi ya nyuma,nami niliyachukua na kuyaweza kuyafanyia kazi kwa kufanya tafiti mbalimbali,kusema ukweli nimegundua mengi sana kwenye ulimwengu wa biashara.,nimejaribu kusafiri sehemu mbalimbali zisizozidi kumi kwa ajili kufanya uchunguzi,vilevile nimejaribu kukutana na watu mbalimbali waliopo kwenye huo ulimwengu wa biashara na kugundua faida na changamoto za biashara.,hata ivo sikuwa nyuma katika usomaji wa vitabu na vijarida mbalimbali kupitia internet na kwa bahati nzuri hizi huduma kwa sasa zinapatikana kwa ukaribu zaidi.

Ukweli ni kwamba biashara ni zaidi ya kile unachofikiria kichwani, ni zaidi ya kukaa nyumbani na kuamka kesho yake asubuhi na kufanya biashara,biashara inahitaji tafiti mbalimbali ili kuifanya biashara yako iwe bora na iwe tofauti na biashara nyingine.
Nashukuru sana,tayari nimefanya maamuzi ya biashara na tayari mwezi huu wa 11 tunaanza kuifanyia kazi,wengi watajiuliza ni biashara gani.!!,nami nahitaji kuwatoa hofu ya kwamba ni biashara ambayo kila mtanzania anaiweza kuifanya haijalishi una kipato kidogo ama kikubwa cha zaidi ni kufanya maamuzi. Sijatofautiana sana na wenzangu katika hiyo biashara nilichokifanya hapo wataalam wanasena n ku "add Value". natumaini nitarudisha mrejesho juu ya maendeleo ya biashara.
Ndg. vijana wenzangu acheni kulala nyumbani,sumbua kichwa na naamini hakuna kinachoshindikana. ni hayo tu kwa leo.!!! Nitarejea tena...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…