Ushauri wa kibiashara,mtaji wa tsh. Million 30

acha unafiki. wewe umeomba ushauri in public, umepewa, sasa kuficha ficha ni biashara gani unaona dili? una roho ya ubinafsi
 
Internet cafe haiwezi kukulipa siku hizi watu wanatumia simu zao ku browse wewe, na wenye uwezo wana laptop zao ma modem hivyo biashara hiyo unaweza kupata kasara tu.

Si kweli ndugu. Halafu, ndio maana unaambiwa kuwa good location sounds better
 

hahahaaaaaaaaaaa
 
UKIHITAJI MAN POWER,husinisahau Ajira Ndugu Yangu!!
Mafanikio Mema!!
 
fungua duka kubwa la nguo aina zote,i mean za watoto,na za watu wazima tena za mtumba,tafuta location nzurii,kila wiki unaenda nairobi kukusanya mzigo kwa bei nafuu,tengenezamarketing segmentation inayoeleweka,mimi naamini KATIKA BIASHARA ZINAZOLIPA BIASHARA YA NGUO AU CHAKULA ZINAONGOZA KWA SABABU NI BASIC NEED KWA BINADAMU YEYOTE,KAMA UNAHITAJI MAWAZO ZAIDI PM ME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…