Ushauri wa kibiashara

kidamali NYAMIHUU

New Member
Joined
Feb 28, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Wana jukwaa mm ni kijana natamani kufanya biashara ila mtaji (capital) nilionao ni kama laki sita hivi,
Je ni biashara gani nitakayoweza kuifanya?
 
angalia wewe unaweza fanya nini angalia soko la hiyo biashara yako kama haina soko mahali uliko angalia biashar yenye soko kitu muhim kuwa mvumilivu
 
Nyuzi zilizomo kwenye jukwaa hili la ujasiliamali zatosha kabisa kukupa wazo zuri la biashara.
USISAHAU za kuambiwa changanya na zako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…