Mkuu unawezaje kupata wazo lakufanya biashara lakini hujui ufanye biashara ipi? inawezekana kuwa na wazo lakufanya biashara halafu hujui ufanye biashara gani?
Mkuu kwa kifupi wazo zuri la biasharalinatoka kwako wewe mwenyewe, na ni lazima ukae chini uangalie ni vitu ganiuapendelea sanakuvifanya maishani mwako and theni vifanyie kazi kuwa wazo la biashara.
1. Angalia mazingira uliyoko wewe
2. soma vitabu vingi sana, anagalia TV mbali mbali kwenye vipindivya uchumi, soma magazeti ya biashara au makala za biashara, safiri sehemumbalimbali za chi hata mkoa,
3. Jiulize maswari mengi sana kuhusu biasharambalimbali
4. Cheki watu wengine wanahitaji nini?ni kitu gani unaona watu wanakihitaji?
5. Hakuna aidia yenye thamani, ukionamoja hiafai achana nayo tafuta nyingine
6. Je ni watu gani watakuwa watejawako?
7.Je kuna ghalama kiasi ganizinahitajika katika hiyo biashara unayo taka kuanzisha?
MAKE KUMBUKA KILA WAZO LINA GHALAMAZAKE, NA HUWEZI KUWA NA MTAJI WA MDOGO UKAJA NA WAZO LA KU IMPORT MAGARI KUTOKAJAPANI
Na ili ufanikiwe ni lazima uumizekichwa sana, usipende utafuniwe kila kitu, mtu anaweza kukuambia kile anachopenda yeye, na si wewe, hakuna mtu atakupa wazo la biashara unalopenda wewe,atakupa analopenda yeye,
SO KAA CHINI UMIZA KICHWA NAAMINIUTAKUJA NA WAZO LAKO ZURI SANA