Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,185
Halafu wewe upewe practical ipi ili tuone kama kweli wewe ni husband material? Unakuta kitandani mbovu, akili ya maendeleo 2%, ushirikiano 9/100 halafu unataka kufanyia mwanamke practical kama ni waifu material..... ahahaha MAZA FANTA!!!!WAKUU,
NAOMBA KUULIZA KIDOGO,
HIVI KUIFANYIA PRACTICAL NADHARIA HII
KUNA UBAYA WOWOTE??
[emoji116][emoji116][emoji116]
_____________
"Mchukue demu umpeleke geto,
Halafu mpime
kwa kumpa jiko la mkaa lililolowana awashe moto mpaka manailoni yote yaishe,
Huku akichambua maharage magumu ayachemshe yaive apike ugali wa dona,
mle mshibe.
Bila kusahau kumpa jeans zako angalau 9 na shuka zako ambazo umezitumia kwa takriban miezi 6 mfululizo bila kuzifua,
azifue zitakate,
Wakati huo ushampa ufagio na tambara la deki asafishe chumba hadi king'ae,
Huku ukimpa malengo yako ya kuanzisha kilimo cha mapera na mikarafuu
na kutaka sapoti yake ya dhati
Ikizingatiwa kilimo chenyewe kitafanywa kwa jembe la mkono,
Baada ya hapo mpe sululu na chepe ili ahakikishe anachimba shimo la takataka
(Sio refu,
Ni la futi 6 na robo tu)
Kisha mpe dumu la
20 ajaze maji kwenye pipa la Lita 113 lita nusu lililopo hapo gheto,
Na amalizie kudeki chooni.
Ikifika saa 12
mpe nauli inayotosha kumfikisha kwao tu,
Bila ziada wala nyongeza yoyote.
Akirudi tena kesho,
Muoe kabisa huyo!
Ni @Waifu_Matirio huyo!
Usimuache kabisa huyo!
Hasa akiwa wa @BAED_KUNOGA!"
_______
LENGO NII_APPLY HII PRACTICAL HIVI KARIBUNI,
AU MWAIONAJE WAKUU??
TUPEANE MAWAZO FASTA HAPA!
NDUGU YENU @SENETA_WA_MTWIZ.
Ww kama sio msukuma ni masai.hivi unafikiria mke wa babu yako Aloyapitia ndo apitie namkeoWAKUU,

Tanzania ya viwanda inakujaWAKUU,

Ai swea huyu siyo Msukuma. Wasukuma hatuko hivi!Ww kama sio msukuma ni masai.hivi unafikiria mke wa babu yako Aloyapitia ndo apitie namkeo
Hhhhhhh bas kama sio masai atakua makonde hana hata hurumaAi swea huyu siyo Msukuma. Wasukuma hatuko hivi!
Huyu atakuwa wa kanda maalumu wewe, kusoma hujui hata picha? huyu lazima atakuwa mkurya, shiyeee.. ero wamasai hatuko hivyo bana habari ya masururu na jeans ngumu tuzijulie wapi? huyu bado yupo karne ya zama za mawe.Hhhhhhh bas kama sio masai atakua makonde hana hata huruma
Halafu wewe upewe practical ipi ili tuone kama kweli wewe ni husband material? Unakuta kitandani mbovu, akili ya maendeleo 2%, ushirikiano 9/100 halafu unataka kufanyia mwanamke practical kama ni waifu material..... ahahaha MAZA FANTA!!!!
Hapa umekosea mkuu jamaa anataka manamba sio mke tabia haina kwaoHuyu atakuwa wa kanda maalumu wewe, kusoma hujui hata picha? huyu lazima atakuwa mkurya, shiyeee.. ero wamasai hatuko hivyo bana habari ya masururu na jeans ngumu tuzijulie wapi? huyu bado yupo karne ya zama za mawe.