matamauruke
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 348
- 211
Vipimo vya ajabu huo ni ujinga katika yooote la maana ni kupika kufua na usafi tuu! Eti jin z 9 hizo nazo ni nguo za kumshinda mtu kufua?kigumu hapo ni kuchota maji loh kwan msalaba? Mmewageuza wanawake punda
Asante mkui... Hapo umemaliza kila kitu tunasubir tu jibu mtoa madaHalafu wewe upewe practical ipi ili tuone kama kweli wewe ni husband material? Unakuta kitandani mbovu, akili ya maendeleo 2%, ushirikiano 9/100 halafu unataka kufanyia mwanamke practical kama ni waifu material..... ahahaha MAZA FANTA!!!!
Test hii angepewa mama yako kuna mawili, either usingezaliwa au usingekuea na baba.WAKUU,
NAOMBA KUULIZA KIDOGO,
HIVI KUIFANYIA PRACTICAL NADHARIA HII
KUNA UBAYA WOWOTE??
[emoji116][emoji116][emoji116]
_____________
"Mchukue demu umpeleke geto,
Halafu mpime
kwa kumpa jiko la mkaa lililolowana awashe moto mpaka manailoni yote yaishe,
Huku akichambua maharage magumu ayachemshe yaive apike ugali wa dona,
mle mshibe.
Bila kusahau kumpa jeans zako angalau 19 na shuka zako ambazo umezitumia kwa takriban miezi 6 mfululizo bila kuzifua,
azifue zitakate,
Wakati huo ushampa ufagio na tambara la deki asafishe chumba hadi king'ae,
Huku ukimpa malengo yako ya kuanzisha kilimo cha mapera na mikarafuu
na kutaka sapoti yake ya dhati
Ikizingatiwa kilimo chenyewe kitafanywa kwa jembe la mkono,
Baada ya hapo mpe sululu na chepe ili ahakikishe anachimba shimo la takataka
(Sio refu,
Ni la futi 6 na robo tu)
Kisha mpe dumu la
20 ajaze maji kwenye pipa la Lita 113 lita nusu lililopo hapo gheto,
Na amalizie kudeki chooni.
Ikifika saa 12
mpe nauli inayotosha kumfikisha kwao tu,
Bila ziada wala nyongeza yoyote.
Akirudi tena kesho,
Muoe kabisa huyo!
Ni @Waifu_Matirio huyo!
Usimuache kabisa huyo!
Hasa akiwa wa @BAED_KUNOGA!"
_______
LENGO NII_APPLY HII PRACTICAL HIVI KARIBUNI,
AU MWAIONAJE WAKUU??
TUPEANE MAWAZO FASTA HAPA!
Unamjua huyu?? ana kuSalim SenatorWAKUU,

Halafu wewe upewe practical ipi ili tuone kama kweli wewe ni husband material? Unakuta kitandani mbovu, akili ya maendeleo 2%, ushirikiano 9/100 halafu unataka kufanyia mwanamke practical kama ni waifu material..... ahahaha MAZA FANTA!!!!
Ww kama sio msukuma ni masai.hivi unafikiria mke wa babu yako Aloyapitia ndo apitie namkeo
Tanzania ya viwanda inakuja
Mjitahidi mfanye kazi kwa bidii vijana maana kutwa mnawaza yasiyotakiwa,. Hivi unaanzaje kutaka mwanamke aliyekamilika na huku we mwenyewe unajua watu wote tuna mapungufu mengi... Muhimu ni kuwa Ishi na mwenzi wako kwa upendo na kushirikiana.. Hapo ndipo utayafurahia maisha na familia yako
muoaji hafanyi hayo yote nyie ndo mnadhani mwanamke ni mtumwA wengine hawaitaj hayo yote na wanaoa wew subir upate malaika
LABDA SIO BONGO TZ HII
Ai swea huyu siyo Msukuma. Wasukuma hatuko hivi!
Hhhhhhh bas kama sio masai atakua makonde hana hata huruma
Huyu atakuwa wa kanda maalumu wewe, kusoma hujui hata picha? huyu lazima atakuwa mkurya, shiyeee.. ero wamasai hatuko hivyo bana habari ya masururu na jeans ngumu tuzijulie wapi? huyu bado yupo karne ya zama za mawe.
Mmhhmm hahaaa mi sitaki