Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Ni kweli sijapenda kuangalia kipaji chake, kwa sababu hii ni 'family business' na kwa mtazamo wangu itampatia pesa nyingi bila kuwa na preshahilo unalitaka wewe mzazi sababu umeona fursa je mtoto ana kipaji gani???
Wewe mbona wazazi walikupangia maisha ukaja shule..si ungeendelea kuchunga ngombe tu..mzazi lazima awajibike kwa kutengeneza future ya mwanawe.Kwicha maji wewe malengo yako sio ya mwanao. Usimuharibie future yake kila mtu duniani na Value zake
Matajiri wote huwapa misingi watoto wao, kuendeleza walichokianzishaKwicha maji wewe malengo yako sio ya mwanao. Usimuharibie future yake kila mtu duniani na Value zake
Kweli mkuu,nataka akiwa kichwa niweze kumlink na hizi taasisi za njeWazao zuri..umri wake upo sahihi kabisa..chamsingi tafuta watu sahihi wa kumfundisha ulimwengu wa sasa ni wakidigitali.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajiulizi swali kwa nini wanasheria watoto wao wanakuwa wanasheria, dokta watoto wake wanakuwa madaktari, mwanasiasa watoto wake wanakuwa wanasiasa n.kWewe mbona wazazi walikupangia maisha ukaja shule..si ungeendelea kuchunga ngombe tu..mzazi lazima awajibike kwa kutengeneza future ya mwanawe.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app