educator2025
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 395
- 455
je wewe ni mwanafunzi au mtu yoyote unataka kujiendeleza kimasomo katika ngazi yoyote ya elimu na hujui pa kuanzia? binafsi natoa ushauri wapi unaweza ku-apply kulingana na grades zako kwa sasa naweza kukusaidia jinsi ya kuomba vyuo vikuu vya South Africa 1. UNISA 2. PRETORIA 3. KWA ZULU NATAL 4. CAPE TOWN
Kenya ni 1. UNIV. OF NAIROBI 2. KENYATTA3. MOI 4.EGERTON 5. KABARAK
Jerrymsigwa anataka PhD kama ya Hemedi wa bongo muvi.
PhD ya discipline/specialization ipi? ulisoma nini Bachelor & Master degree level?
je wewe ni mwanafunzi au mtu yoyote unataka kujiendeleza kimasomo katika ngazi yoyote ya elimu na hujui pa kuanzia? binafsi natoa ushauri wapi unaweza ku-apply kulingana na grades zako kwa sasa naweza kukusaidia jinsi ya kuomba vyuo vikuu vya South Africa 1. UNISA 2. PRETORIA 3. KWA ZULU NATAL 4. CAPE TOWN
Kenya ni 1. UNIV. OF NAIROBI 2. KENYATTA3. MOI 4.EGERTON 5. KABARAK
je wewe ni mwanafunzi au mtu yoyote unataka kujiendeleza kimasomo katika ngazi yoyote ya elimu na hujui pa kuanzia? binafsi natoa ushauri wapi unaweza ku-apply kulingana na grades zako kwa sasa naweza kukusaidia jinsi ya kuomba vyuo vikuu vya South Africa 1. UNISA 2. PRETORIA 3. KWA ZULU NATAL 4. CAPE TOWN
Kenya ni 1. UNIV. OF NAIROBI 2. KENYATTA3. MOI 4.EGERTON 5. KABARAK
Mkuu umenigusa sehemu zangu
Kwanza natamani sana nifanye Masters MASWALA YA GOVERNANCE CHUO chochote nje ya Tanzania, ama south, kenya hapana, hata south kwenyewe naogopa kufa, maana mm mtu wa kujirusha madisco, kwa kifupi naogopa sana nchi ambayo miguu ya kuku inauzwa hadharani. wengine tuna alerge
Pili..Kama nikikosa nje sitamani kusoma masters kabisa, kwa kuwa najua kwa nchi hii haitanisaidia chochote. walimu wanazifanya ngumu sana, pili hazina ubora kama wa wenzetu..bisha tu ukweli ndio huo.
Mwisho muhimu, sina hata kumi mfukoni usiulize kwa nn
Bahati mbaya nimeacha kutukana niko ramadhani, vile hunijui sikujui we dhani kuchangia hizi thread tunafanana, kama we hukusoma usisemee wengine
Samahani mkuu, sikutarajia ukwazike na utani wangu.
je wewe ni mwanafunzi au mtu yoyote unataka kujiendeleza kimasomo katika ngazi yoyote ya elimu na hujui pa kuanzia? binafsi natoa ushauri wapi unaweza ku-apply kulingana na grades zako kwa sasa naweza kukusaidia jinsi ya kuomba vyuo vikuu vya South Africa 1. UNISA 2. PRETORIA 3. KWA ZULU NATAL 4. CAPE TOWN
Kenya ni 1. UNIV. OF NAIROBI 2. KENYATTA3. MOI 4.EGERTON 5. KABARAK
je wewe ni mwanafunzi au mtu yoyote unataka kujiendeleza kimasomo katika ngazi yoyote ya elimu na hujui pa kuanzia? binafsi natoa ushauri wapi unaweza ku-apply kulingana na grades zako kwa sasa naweza kukusaidia jinsi ya kuomba vyuo vikuu vya South Africa 1. UNISA 2. PRETORIA 3. KWA ZULU NATAL 4. CAPE TOWN
Kenya ni 1. UNIV. OF NAIROBI 2. KENYATTA3. MOI 4.EGERTON 5. KABARAK
Mkuu mimi nahitaji kufanya masters ya pharmaceutical analysis au medicinal chemistry. Naomba ushauri wako...
Nina bachelor ya pharmacy(MUHAS)