Ushauri wa kimasomo

Ushauri wa kimasomo

Sir kijangwa

Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
81
Reaction score
38
Wadau nataka nifanye mtihani wa form six kombi ya EGM au Historia na GM,mimi ni mtumishi wa serikali nimerudia mtihani mwaka jana nimepata nilichokitafuta matokeo ya kwanza nilikuwa na C mbili math na civics.lengo langu nataka nikasome math chuo je? naweza kusoma math na historia na Geog.ushauri tafadhali.
 
Yule mwenye dhamana ya kusoma si ameshasema; Division ya kuunga unga haihitajiki SIRIKALINI?

Lakini nadhani alimaanisha vibarua vipya, wewe si una apugredi sio? Endelea....hata hivyo si wamebakisha nyundo saba tu, pengine yatabadilika kama hawatabadilisha vile vipindi!
 
Back
Top Bottom