Ushauri wa kimkakati: Red brigade wapewe mafunzo ili kukabiliana na dhuluma ya polisiCCM.

Ushauri wa kimkakati: Red brigade wapewe mafunzo ili kukabiliana na dhuluma ya polisiCCM.

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Tumeshuhudia kwa macho na masikio. Viongozi wetu wamenyanyaswa na kuteswa.

Ni wazi wanahitaji ulinzi. Na kwa mantiki hii basi Red brigade wapatiwe mafunzo ikibidi wapelekwe nchi kama Korea na Cuba.

Lazimq tupinge uonevu na kujilinda.
 
Kimsingi, unasema Chadema waanze mapambano dhidi ya vyombo vya usalama vya Tanzania kulipiza kisasi?

Angalia hii thread

Tumeshuhudia kwa macho na masikio. Viongozi wetu wamenyanyaswa na kuteswa.

Ni wazi wanahitaji ulinzi. Na kwa mantiki hii basi Red brigade wapatiwe mafunzo ikibidi wapelekwe nchi kama Korea na Cuba.

Lazimq tupinge uonevu na kujilinda.
Wale makomando walinzi wa Mbowe wapo wapi? Walikuwa na mafunzo?
 
Acha uoga

..Ccm ni waoga wa HOJA za Chadema.

..wakiona wamezidiwa wanatuma Polisi wenye mitutu.

..Chadema hawana haja ya kuwa na majeshi.

..wajielekeze kuwafikia wananchi wengi, na kuandikisha watu wengi zaidi, kwenda kupiga kura.
 
Back
Top Bottom