Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Acha uoga..it is a bad idea.
Wale makomando walinzi wa Mbowe wapo wapi? Walikuwa na mafunzo?Tumeshuhudia kwa macho na masikio. Viongozi wetu wamenyanyaswa na kuteswa.
Ni wazi wanahitaji ulinzi. Na kwa mantiki hii basi Red brigade wapatiwe mafunzo ikibidi wapelekwe nchi kama Korea na Cuba.
Lazimq tupinge uonevu na kujilinda.
Tumia busaraWale makomando walinzi wa Mbowe wapo wapi? Walikuwa na mafunzo?
Acha uoga