Ushauri wa kisaikolojia

Geti la mbinguni hupiti😂😂😂😂 kwahiyo ukampa faraja?
 
Kuna point kubwa Sana hapa

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Hapo tatzo lpo kwa huyo mwenzio unaefanya nae kaz dear.

Cha msingi kubali kuwa ni hali kweli imekukumba ww na nafsi yako.

Futa namba ya hilo dume na anza upya.
Inaonekana yule kaweka maovu ya bidada hadharani jamaa akaamua kumwaga , anyanga na Ili kumuumiza akaamua kumpiga na kitu kizito

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Chanzo cha mgogoro pleas naweza kukusaidia
 
Pole sana.Kama unampenda ungejaribu kumuomba msamaha tu.
 
Huyo dada kafitinishwa na wafanyakazi wenzie wa kike aliowaamini na kuwapa siri zake zote juu ya huyu mwanaume. Wadada wengi yamewakuta ya namna hii.
 
nimecheka sana[emoji3][emoji2][emoji2]
 
Dada ninaloweza kukushauri la kwanza ujue nini kiini cha mtafaruku? Ninasema hivyo kwasababu bila kujua hata ukipona utaingia mahusiano mengine na jambo kama hili linaweza kujitokeza. Na likitokea tena laweza kukufanya ujione mwenye mkosi maisha yako yote.

Kama.mwingine alivyosema wakati.mwingine haya mambo hutokea ili kukuweka mahala pazuri zaidi. Itakuwa ni vizuri uingie pazuri ukiwa na lessons za mahusiano yaliyoharibika ili mambo yasije jirudia.

Ambalo sielew ni kamai bado unampenda? Na unaweza kurudiana naye pamoja na kuanzisha mahusiano na mfanyakazi.mwenzio? Au ni ile kwamba utaonekanaje kwenye jamii na hali mahari ilishatolewa?

Siwezi kuhukumu ni nani mwenye makosa maana maelezo yako hayajitoshelezi. Ila kwa haraka ninavyoona huenda ulijisahau na kuwahusisha rafiki zako wa kike mambo yako ya mahusiano, na wakatumia madhaifu yako na hiyo ndo inaweza kuwa imepelekea kupinduliwa.

Uzoefu wangu ni kuwa mpaka mnafikia kuachana huwa kuna series ya malalamiko toka zamani kwa kila mmoja ila yakazoeleka na hayakufanyiwa kazi. Ukiona watu wanaachana mara nyingi sababu siyo lile tatizo la mwisho, mara nyingi hilo litakuwa ni mwendelezo wa migogoro midogo midogo ambayo mmekuwa nayo bila kuifanyia kazi. Kwahiyo hiyo sababu ya mwisho huwa inahitimisha mahusiano lakini sababu kuu zilishakuwepo tangu mwanzo.

kwahiyo dada jaribu kufanya reflection ya mahusiano yenu na uone ni wapi hamjuwa sawa ili.kutafuta kiini. Na hatua ya kwanza kuondokana na hili ni kukubali kuwa hilo limetokea na kwamba maisha.yanatakiwa yaendelee. Jipe imani kuwa huyo hukumfahamu kabla na hivyo bado una fursa nyingine kwa.mtu ambayr hata sasa humfahamu. Lingine zingatia kuwa haya.mambo yapo na wewe si wa kwanza. Kwahiyo unawesza kuendelea na maisha.

Lingine nikusihi usijaribu kuingia kwenye mahusiano ya haraka kama njia ya kujibu mapigo maana hilo litakugharimu. Huenda naye alimchukua.mfanyakazi.mwenzio kama kukukomoa na kweli kama hiyo ndo ilikuwa ni sababu bado naye hatafika mbali na huyo mtu. Maana siku akipoa atamuona hamfai.

Kwa ushauri zaidi unaweza kuja DM maana masuala ya mahusiano yana mengi na uzoefu wangu ni kuwa wasuruhishaji wa mahusiano wanapata shida sana.bila kujua kiini cha tatizo. Sababu ni kwamba wanaopatanishwa au kushauriwa huongelea kilichotokea na.kusahau mambo yalipooanzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…