Ushauri wa kisheria kushindwa ku retire imprest

monaco

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,184
Reaction score
1,778
Wadau habari,
nina rafiki yangu,alipewa kazi ya kusimamia bidhaa flani mpaka iishe kutoka Stesheni DAR hadi mikocheni ofisini kwa muda wa wiki 1.akamaliza vizuri kazi ile,kabla ya hapo alichukua imprest ya laki 9 kwa ajili ya usafiri,chakula.sehemu ulipokuwa anakaa kinyerezi so alikuwa anaenda stesheni kusimama upakiaji wa mzigo.Toka kinyeezi hadi stesheni
sasa wakati waku retire IMPREST jamaa alimtafuta Tax driver kirafiki akampa risiti za wiki 1,baada ya kuwakilisha ofisini watu wenye nia mbaya wakamdokeza mwajiri kuwa jamaa alikuwa hapandi Tax,hivo cheki hizo risiti zake,Risiti zikakaguliwa kuja kucheki zikakutwa nyingine ni Plate namba za bajaji,lori,pikpiki,Plate namba za Tax zilikuwa chake 4 hivi,zilizobaki ni Risiti za Tax ambazo hazikuwa za tax ya biashara,yeye hakujua kwasababu tax driver alichukua kitabu chake na kuandika,kama mtu unavyokua unatafuta risiti.
mwajiri wake kamfukuza kazi kwa kufoji risiti ili apate malipo yasio halali.
Walikaa decplianary hearing wakaamua jamaa alipwe mafao yake,mwajiri akakubali.baada ya wiki 2 mwajiri akabadilisha mawazo kuwa hata mafao asilipwe.
je afanyaje ktk utetezi wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…