Nenda central polisi dawati la jinsia au TAKUKURU haki itatendeka.
pole sana ndugu yangu MUNGU NI MWAMINIFU ukweli utadumu milele usijali utafanikiwa usikate tamaa maana umeokoa roho nyingi za watoto wetu wa kike kwa maana wewe ni mfano wa kuigwa.
Halafu hili suala la rushwa ya ngono limeripotiwa hata huko JKT, inaonekana watu wanaendekeza sana ngono siku hizi, viongozi wa dini wanatakiwa waongeze juhudi kwenye maombi.
Aisee kumbe matukio yao ni mengi hivi, naamini wahusika wameipata na watachukua hatua za haraka kuepusha ufisadi na aibu kwa taasisi hii ya umma.
Uthibitisho wa tuhuma zilizopo chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere
Wana JF kumekuwa watu hususan Mkuu Uzalendi, Mpalamtoko na wengine juu ya tuhuma za chuo hicho, hapa naweka barua iliyoandikwa na bwana Mabuba kwenda kwa mkuu wa chuo. Kumbukeni ndugu huyu naye ni mtuhumiwa, amekuwa akituhumiwa kutoa vyeti feki. Nitajitahidi kuwaletea kila doc nitakayoipata.
Tuhuma hizi kama ni kweli, basi vyuo kazi ipo.
Attached Files
BARUA YA CHUO CHA MWALIMI NYERERE.docx (1.62 MB, 0 views)
kuna member humu anaitwa misstrong mtafute atakupa ushauri zaidi
Ushauri wangu, ni kwamba kaeni pamoja muongee!!
Mimi nasoma SHERIA najua mpaka hapo kuna BUREAUCRACY nzito sana na usipokaaa sana hata ushahidi utapotea,, hebu nenda PCCB tena wao na {waendesha mashtaka wanatoka kwao},,TANZANIA WOMEN LAWYERS ASSOCIATON [TAWLA], nenda TANGANYIKA LAWYERS ASSOCIATION [TLS], nenda KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU [LHRC], nenda TGNP,, hawa wote ukishindwa nitaamini kwamba WANASHERIA TANZANIA HAWAPO,, au nenda USTAWI WA JAMII watakuandika PLAINT utaenda mahakamani kufungua kesi bure (kama ukipitia huko),,, Kama una pesa na haya yote yameshindikana na unataka hai ipatikane nenda kamtafte Advocate Majura Magafu,, au Advocate Kibatara,, au Advocate Msemwa,,, na wengineo wengi sana.. Lakini huo ushahidi nakushauri sana utunze kwenye SIMU, CD, FLASH au hata kwenye laptop yako,, ili kikipotea kimoja wapo bado ushahidiwako utakuwa strong....Wherever there is a rule and abstract Principles Lawyers are going to make distinctions.. thank you,,, and wishing you all the best