ThadeusMbena
New Member
- Feb 2, 2016
- 1
- 0
umeshabadilisha jina?Habari..Naomba ushauri wa kisheria.Mimi nilipewa kiwanja kama zawadi Natural Love And Affection .Nimekabidhiwa 1.Hati Halisi 2.Deed Of Gift 3.Application For Disposition Form 4.Transfer Of A Right Of A Disposition 5.Notification Of Disposition Na 6.Certificate Of Approval Of Disposition(Consent).
Nilitakiwa kwenda TRA kulipa kodi lakini sina pesa za kufanya hivyo.Nimeamua kuuza kiwanja change.Nilipopata mteja nikaambia sina Locus (Nguvu Ya Kuuza).Naomba kujua kama kuna namna yeyote ya kisheria ambayo inaweza kufanyika nikaweza kuuza kiwanja hiki.Asanteni
huwezi kuuza mpaka transfer ya kiwanja kuingia katika jina lako ikamilike kwanza.Habari..Naomba ushauri wa kisheria.Mimi nilipewa kiwanja kama zawadi Natural Love And Affection .Nimekabidhiwa 1.Hati Halisi 2.Deed Of Gift 3.Application For Disposition Form 4.Transfer Of A Right Of A Disposition 5.Notification Of Disposition Na 6.Certificate Of Approval Of Disposition(Consent).
Nilitakiwa kwenda TRA kulipa kodi lakini sina pesa za kufanya hivyo.Nimeamua kuuza kiwanja change.Nilipopata mteja nikaambia sina Locus (Nguvu Ya Kuuza).Naomba kujua kama kuna namna yeyote ya kisheria ambayo inaweza kufanyika nikaweza kuuza kiwanja hiki.Asanteni
YapHivi kumbe hata ukipewa kama zawadi bado unatakiwa kulipa kodi!