Oa mwanamke anaekupendahabari za majukumu ndugu wajumbe wa jf..
pasi na kupoteza muda niende kwenye maada moja kwa moja..
Ndugu yenu nipo kwenye njia panda.. je ni yupi anamezwa kuwa mke bora kati ya hawa wawili?
1: Binti mwenye umri wa miaka 23 ambae ni mhitimu wa chuo kikuu mwaka huu.. she is nice ila nahisi bado ana mambo mengi..
2: Single mother mwenye umri wa miaka 28 mwenye elimu ya kidato cha nne.. She is beautiful ila nahisi ana kaujeri flani hivi..
Wadau hebu nipeni ushauri kati ya hawa yupi anaweza kuwa bora kuliko mwenzie?
Nawasilisha kwenu..[emoji120]
Wote wako safi isipokuwa , huyo wa single hakikisha mzazi mwenzie kafariki na usikubali bila death certificate na picha ya kaburi, huyo wa 23 angalia kama ni mcha mungu na mpe muda muendelee mwaanamke anafaa kuwa mke kuanzia 26 + wao foolish age inaenda hadi 25habari za majukumu ndugu wajumbe wa jf..
pasi na kupoteza muda niende kwenye maada moja kwa moja..
Ndugu yenu nipo kwenye njia panda.. je ni yupi anamezwa kuwa mke bora kati ya hawa wawili?
1: Binti mwenye umri wa miaka 23 ambae ni mhitimu wa chuo kikuu mwaka huu.. she is nice ila nahisi bado ana mambo mengi..
2: Single mother mwenye umri wa miaka 28 mwenye elimu ya kidato cha nne.. She is beautiful ila nahisi ana kaujeri flani hivi..
Wadau hebu nipeni ushauri kati ya hawa yupi anaweza kuwa bora kuliko mwenzie?
Nawasilisha kwenu..π
habari za majukumu ndugu wajumbe wa jf..