Ushauri wa kitaalamu kuhusu masuala ya fedha

Hakuna kitu kama hicho yaani unataka riba ya 48% hata ukifanya biashara hiyo ngumu kupata
 
Anataka kujikimu hebu elewa atajikimu na viwanja
 
Jenga nyumba weka mpangaji, nyumba ya million 50 unaweza kupata mpangaji wa laki 5 kwa mwezi

Nyumba itaendelea kuwa yako milele
 
mimi nipe 10m in exchange of 10% equity share mkataba minimum miaka mitatu




ukikosa kote gawanya kwa mafungu hiyo hela tafuta kampuni nunua shares au ukiona huwezi peleka UTT Amis huko maana ilianzishwa kwa ajili yenu
 
Kabisa, sana sana ardhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ