GWANCO1
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 277
- 331
Wanabodi.
Mbuzi wangu amezaa vitoto vitano( pichani) najiuliza hapa mbegu ni hilo dume lilipanda au huyu jike
Kimsingi dume hata silifahamu na sijafuga dume .ili kuenedeleza kizazi hiki nifanyenje maana huyu mbuzi jike nilimnunua peke yake akajichanganya na wajirani