Kwanza unafanya kazi gani au shughuli gani,
Mie kwa umaskini wangu bado sijaona sababu ya kuweka fedha bila kufanya kazi.
Yaani pesa ni lazima izunguuke,unless uwe vizuri kipesa.
Kwanini Bank waifanyie pesa yako biashara wakati unafursa nyingi za kufanya biashara na kuizunguusha pesa,then unakuwa unaweka pesa bank pale inapokuwa tu inasubiri kujaziwa ili iingie tena kwenye mzunguuuo mwingine.
Mie situmii saccos,natumia Bank,ila inaonekana saccos ni bora zaidi.