ushauri wa kitåbibu

ushauri wa kitåbibu

king roja

Senior Member
Joined
May 4, 2012
Posts
141
Reaction score
7
kuna baadhi ya siku na ni mara nyingi ninapotaka kufanya mapenzi jogoo anakuja down. Nifanye nini kuondosha tatizo. Ushauri please
 
kuna baadhi ya siku na ni mara nyingi ninapotaka kufanya mapenzi jogoo anakuja down. Nifanye nini kuondosha tatizo. Ushauri please
Hilo tatizo linapotokea unakuwa na mpenzi wako wa kila siku au linatokea unapokuwa na mpenzi mpya?
 
Jaribu kueleza shida yako vizuri ili uweze kupewA MSAADA ulio bora zaidi..acha kutumia viswahili vya mtaani..
 
eti...ninapotaka kufanya mapenzi jogoo anakuja down...hata komba angeweza kutumia kiswahili sanifu.
 
kwa niliemkwaza anisamehe, na huwa ni kwa mwanamke wangu wa siku zote lakini hutokea hali hiyo
 
kwa niliemkwaza anisamehe, na huwa ni kwa mwanamke wangu wa siku zote lakini hutokea hali hiyo
Acha mawazo mengine yoyote unapokuwa kwenye hizo shughuli,kama unafanya sana masturbation you better stop it na mpenzi wako ndio awe kitu pekee unapokuwa na kiu ya ku-sex, kama unakunywa pombe sana punguza usizidishe bia mbili siku mbili kabla ya mechi,fanya mazoezi hii pia itakusaidia kama una kitambi ili kipungue kwani kitambi nacho husababisha hiyo hali,kunywa maji mengi kadri uwezavyo sio chini ya lita 3 kwa siku,

Kama unavuta sigara acha kabisa au punguza taratibu mpaka utakapoweza kuacha,kama ni mtu wa kukasirika-kasirika unapokwenda kwenye mechi hakikisha hakuna unachowazia zaidi ya kufanya tukio na mpenzi wako,maudhi yoyote yale pia huchangia hiyo hali hasa kama kuna kutokuelewana na mpenzi wako n.k.
 
Back
Top Bottom