Hilo tatizo linapotokea unakuwa na mpenzi wako wa kila siku au linatokea unapokuwa na mpenzi mpya?kuna baadhi ya siku na ni mara nyingi ninapotaka kufanya mapenzi jogoo anakuja down. Nifanye nini kuondosha tatizo. Ushauri please
Acha mawazo mengine yoyote unapokuwa kwenye hizo shughuli,kama unafanya sana masturbation you better stop it na mpenzi wako ndio awe kitu pekee unapokuwa na kiu ya ku-sex, kama unakunywa pombe sana punguza usizidishe bia mbili siku mbili kabla ya mechi,fanya mazoezi hii pia itakusaidia kama una kitambi ili kipungue kwani kitambi nacho husababisha hiyo hali,kunywa maji mengi kadri uwezavyo sio chini ya lita 3 kwa siku,kwa niliemkwaza anisamehe, na huwa ni kwa mwanamke wangu wa siku zote lakini hutokea hali hiyo