Ushauri wa kozi ya kusoma

KIBINDU

Senior Member
Joined
Jul 2, 2015
Posts
175
Reaction score
355
Msaada tafadhali,

Mtoto amepata Div one ya points 4 kwa combination ya PCM. Je kozi gani ya engineering itamfaa? Na chuo kipi?
 
Mimi Ushauri wangu ni huu
1. Elewa anapenda kufanya nini (Understand his/her interests and Goals)
2. Jua vyuo vizuri vya yeye kusoma(Reserach universities)
3. Uelewe ni kozi au degree za aina ipi zipo kwa pass mark yake(Understand the different types of undergraduate degree.
4. Evaluate Course content
5. Check entry requirements (kwa yeye nafikiri nyingi atakuwa qualified)hasa za engineering
6. Consider future prospects.

Nina uzoefu wa watoto wangu na nimeweza ku wa guide vizuri na sasa wamejiajiri hata kabla hawajamaliza chuo.Wazazi au walezi tusiwakaririshe watoto kuwa wakimaliza wataajiriwa serikalini au mashirika ya umma ,Anza kumjengea uwezo kiakili kwa kitu anachokifanya na mu attach na mtu aliyesoma hiyo course na sasa anafanya kazi au amejiajiri au yupo kwenye secta binafsi.
 
Asome electrical au electronics and telecom asitoke nje ya hapo

Electrical kibongo bongo ni nzuri sana kuanzia ajira mpaka kujiajiri

Electronics and telecom ni nzuri sana pia maana ndio dunia inapoelekea teknolojia yote imelala hapa ni yeye tu ashindwe kuwa creative, lastly ni rahisi sana kujiajiri.

Achana na mambo ya civil kila mtu siku hizi ni civil alafu ni ngumu kuonyesha creativity yako.
 
A jichanganye na telecom aite maji mma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…