Mala kwa mala huwa naagiza bidhaa kupitia aliexpress na kupokea mzigo kupitia posta kwa sasa nataka kuagiza mzigo kupitia alibaba na mzigo ni mdogo tu ambao nitatumia agency kama silent ocean n.k ila kunakitu kinanitatiza je kwa huku mkoani nitaupokelea wapi bila ya mimi kufika dar, na je hawa agency kama silent ocean na wengine wanasafirisha au wana office mikoani
ila kunakitu kinanitatiza je kwa huku mkoani nitaupokelea wapi bila ya mimi kufika dar,
Mzigo utafika dar.Kazi ni kwako wewe uende kuuchukua dar au utafute mtu akutumie.Wao wanahusika na kuutoa mzigo china to tz tu.Kukuletea mkoani hawahusiki tena wao
Kwa mizigo midogo ni vyema ukabakia Aliexpress.alibaba na mzigo ni mdogo tu
- Tumejadili kwa kinavp kuhusu ebay kwa mizigo midogo midogo