Ushauri wa kufanya manunuzi Serikalini

Ushauri wa kufanya manunuzi Serikalini

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Me nawaza tofauti kidogo issue ya manunuzi serikalini ina loophole kubwa sana ya watu kupiga. Mfano watu wa manunuzi ukitaka kununua kitu watakwambia zidisha mara tatu ya bei halisi. Kwa hiyo serikali ifanye yafuatayo

1. GPSA waweke viwango vya limit ya bei mfano laptop yenye spec hizi bei yake iwe mwisho kiasi fulani.

2. Vitu vingine vinunuliwe in BULK kutoka hazina au benki kuu harafu taasisi ziombe

3. Mfumo wa manunuzi TANEPS uboreshwe binadamu azifanye analysis ya kumpa mdhabuni
 
Back
Top Bottom